GET /api/v0.1/hansard/entries/211401/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 211401,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/211401/?format=api",
    "text_counter": 184,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ambayo haina four-wheel drive . Hiyo Nissan inaweza kusaidia katika sehemu zingine. Lakini kuna mahali pengine ambapo haiwezi kusaidia. Watu wanaweza kukazana kubeba mgonjwa kutoka sehemu kavu lakini, kwa sababu ya njia mbovu, mgonjwa anaweza kufa njiani kabla hajafika hospitali. Ikiwa Wizara inaweza kufikiria na kutuma gari ambalo linaweza kusaidia ama kuokoa maisha, tutasema halleluyia na kushukuru, kama vile tumesifu vitu vingine ambavyo Wizara hii imejaribu kufanya. Bw. Naibu Spika wa Muda, nitakomea hapo na kusema ya kwamba naunga mkono Hoja hii."
}