GET /api/v0.1/hansard/entries/212007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 212007,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/212007/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, wakati ambapo tunazungumza kuhusu plastiki na uchafuzi wa mazingira, kuna tatizo lingine ambalo linaambatana nalo. Tatizo hilo ni mikebe ya plastiki. Kuna bia, soda na bidhaa nyingi kutoka nje ya nchi ambazo zimepakiwa ndani ya mikebe. Je, Serikali inashughulikia vipi swala hilo, tukizingatia uchafuzi wa mazingira?"
}