GET /api/v0.1/hansard/entries/212111/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 212111,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/212111/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi kuunga mkono hii Hoja ambayo ni ya muhimu sana katika nchi yetu na dunia ya leo. Ningependa kuchukua fursa hii kumpa hongera Bw. Ahenda kwa kuleta Hoja hii wakati huu. Hii ni Hoja iliyofaa kuja katika Bunge hili zamani na tungeokoa maisha mengi ambayo labda yameenda kwa sababu ya kuwa na sheria ambayo ina ruhusu hukumu ya kifo."
}