GET /api/v0.1/hansard/entries/213121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 213121,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/213121/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bwana Naibu Spika wa Muda, watu hawa wamekosa haki kwa sababu kuna maofisa wakubwa katika polisi ambao wanawazuia kurudi kazini. Mmoja wao ambaye wamemtaja katika affidavit yao ni Bw. Kimaiyo. Aliwaambia kwamba akiwa mamlakani, watu hao hawatarudi kazini. Hii inafanya tujiulize: Sheria hii ya kupiga firimbi tuliipitisha ya nini kama hatukuwa na nia ya kuhakikisha kwamba inawalinda wanyonge ambao wanapiga firimbi kwa lengo la kusaidia Serikali kupigana na ufisadi? Ningetaka kusema kwamba, wakati polisi wanakataa kuwasaidia wapiga firimbi, ni kama wanatoa ishara kwa nchi nzima ya kuonyesha kwamba Serikali haina nia ya kupigana na ufisadi. Naunga mkono."
}