GET /api/v0.1/hansard/entries/213271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 213271,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/213271/?format=api",
"text_counter": 58,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. L. Maitha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 249,
"legal_name": "Lucas Baya Mweni Maitha",
"slug": "lucas-maitha"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, mawakili wananyanyasa watu sana. Tumekuwa na hii Advocates Complaints Commission kwa miaka mingi lakini hii ni taratibu ya kuwafanya watu waridhike kwamba kuna hatua ambayo inachukuliwa. Kulingana na majibu ya Mkuu wa Sheria, kwa muda wa miaka miwili, ni mawakili 11 tu ambao wametolewa kwa orodha ya mawakili. Ukiangalia madhambi ambayo yamefanywa na mawakili kwa muda wa miaka miwili, utapata kwamba ni mengi sana. Ningetaka kumuuliza Mkuu wa Sheria ambaye ndiye mshauri wa Serikali kwa maswala haya, kama ameridhika kwamba hii Advocates Complaints Commission ni njia muafaka ya kusuluhisha matatizo kama haya."
}