GET /api/v0.1/hansard/entries/213572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 213572,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/213572/?format=api",
    "text_counter": 22,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kumekuwa na shinikizo kutoka kwa mabeberu wa Marekani na Uingereza kuilazimisha nchi hii kuwa na sheria ya kibeberu ya ugaidi. Bunge hili limekataa jambo hilo. Jambo hili liko dhidi ya Waislamu. Je, hii ni njama ya kujaribu kuitekeleza hiyo sheria, ambayo haijapitishwa hapa, kwa mlango wa nyuma? Sheikh Mohamed amefanya kosa gani ambalo linasababisha arudishwe Uingereza?"
}