GET /api/v0.1/hansard/entries/213715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 213715,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/213715/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, familia ikiuawa inajulikana ni pahali gani inatoka. Siwezi kusema ya kwamba huo ni ukabila. Mauaji hayana ukabila. Tunamwomba Waziri atueleze kwa nini hajaweza kuenda kunyang'anya watu silahi katika Trans Nzoia. Kwa nini mauaji yameendelea kwa musimu usiopungua miezi sita katika sehemu moja ambapo Waziri mwenyewe hajaangazia hayo mambo? Na ikiwa yeye anatosheka kwamba watu wazidi kuchinjwa kama kuku, atueleze watu wa Trans Nzioa na Saboti."
}