GET /api/v0.1/hansard/entries/213991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 213991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/213991/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ahsante sana. Kama vile mnavyoona, tutaendesha kipindi hiki kulingana na vile mambo yalivyo. Mambo yalivyo sasa ni kwamba wale walio upande wa Serikali ni wengi kuliko wale walio upande wa Upinzani. Kwa hivyo, ninyi mlioko upande wa Upinzani mtasubiri. Subira huvuta heri!"
}