GET /api/v0.1/hansard/entries/214142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 214142,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/214142/?format=api",
"text_counter": 336,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Achuka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 353,
"legal_name": "Francis Achuka Ewoton",
"slug": "francis-ewoton"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, tumepitisha Hoja muhimu juu ya matumizi ya pesa katika Wizara hii. Tunataka tuwe na amani hapa nchini. Amani itapatikana ikiwa usalama utakuwa thabiti. Utawala wa Mkoa na polisi wanahitaji pesa nyingi ili kuwe na usalama na amani nchini. Katika eneo langu, kuna tarafa tatu. Tarafa hizi hazina magari ya DOs ---"
}