GET /api/v0.1/hansard/entries/214267/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 214267,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/214267/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ndile",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Tourism and Wildlife",
    "speaker": {
        "id": 272,
        "legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
        "slug": "kalembe-ndile"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, tunapata majibu yote kutoka kwa maofisa wetu. Kama hatujapata majibu yanayofaa, kuna uwezekano wa kuahirisha kujibu hili Swali mpaka wakati tutakapokubaliana na wao. Kwa hivyo, hii haimaanishi kwamba hatuna majibu, lakini ni lazima tutoe majibu sahihi."
}