GET /api/v0.1/hansard/entries/215135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 215135,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215135/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Konchella",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 322,
        "legal_name": "Gideon Sitelu Konchella",
        "slug": "gideon-konchella"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, nchi ya Tanzania ina haki kulingana na sheria yake kuhakikisha kwamba wale wanaovunja sheria wanaadhibiwa kulingana na sheria ya nchi hiyo. Siyo jukumu la Jamhuri ya Kenya kuieleza nchi jirani kufanya jinsi tunavyofikiria. Ikiwa kuna Mkenya ambaye amefanya makosa katika nchi yoyote ile duniani, tukipata habari hizo kwa muda unaofaa, bila shaka tutahakikisha kwamba hasumbuliwi na mtu yeyote kwa sababu ana haki ya kuchungwa na kusaidiwa kwa lolote na nchi yake."
}