GET /api/v0.1/hansard/entries/215158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 215158,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215158/?format=api",
"text_counter": 89,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Mbunge wa Magarini ameeleza kwamba wakati Mhe. Rais alipozuru sehemu yake, aliahidi kwamba hii barabara itawekwa lami. Waziri amemjibu na akasema kwamba halifahamu jambo hilo. Je, Waziri anaweza kwenda kuuliza ili afahamu jambo hilo na akifahamu atekeleze vile Rais aliagiza?"
}