GET /api/v0.1/hansard/entries/215241/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 215241,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215241/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, sitaongea sana. Lakini katika kukamilisha jibu, ninataka kusema kwamba hakuna yeyote ambaye anaweza kupewa uwezo wa kubomoa demokrasia katika nchi. Wakati mwingine, jambo hili linawezekana wakati ambapo vyombo vya habari vinapewa uhuru zaidi wa kutetea kitu kama ukabila. Jambo hili lilifanyika huko Rwanda na Somalia. Itakuwa ni makosa makubwa ikiwa nchi hii, badala ya kufaidika na uzoefu wa nchi nyingine, itarudia makosa yayo hayo ya kupatia vyombo vya habari uwezo wa kuvuruga nchi. Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa hayo machache, naomba kujibu."
}