GET /api/v0.1/hansard/entries/215591/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 215591,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215591/?format=api",
"text_counter": 294,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, nilikuwa nimemaliza kujibu. Nimesema kwamba tumeelewana na mheshimiwa Weya na hatuna upinzani. Tunafikiria kwamba lengo la Hoja hii ni sawa na lengo la Mswada wa Teknolojia, Habari na Mawasiliano. Kama hataki kuondoa Hoja hii, sisi tuko tayari kuiunga mkono tukiamini ya kwamba aidha wiki hii ama wiki ijayo, tutaleta Mswada ambao utashughulikia Hoja hii."
}