GET /api/v0.1/hansard/entries/215606/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 215606,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215606/?format=api",
    "text_counter": 309,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamwere",
    "speaker_title": "The Minister Assistant for Information and Communications",
    "speaker": {
        "id": 352,
        "legal_name": "Koigi Wamwere",
        "slug": "koigi-wamwere"
    },
    "content": " Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa mhe. Mbunge aeleze kama halipotoshi Bunge anapodai kwamba Safaricom ni kampuni ya kimataifa, wakati asilimia 60 ya hisa za kampuni hiyo zinamilikiwa na Telkom ambayo ni kampuni ya taifa hili."
}