GET /api/v0.1/hansard/entries/215615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 215615,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215615/?format=api",
"text_counter": 318,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, kama ulivyoeleza, swala ambalo tunahitaji kulielewa vizuri ni kama hisa nyingi za kampuni ya Safaricom zinamilikiwa na watu kutoka nje ya nchi au watu wa hapa nchini. Kama hisa nyingi za kampuni hii zinamilikiwa na Wakenya kupitia makampuni yao, je, mhe. Mbunge, si analipotosha Bunge anapodai kwamba hii ni kampuni ya kimataifa? Ninachosema ni kwamba hii ni kampuni ya kitaifa."
}