GET /api/v0.1/hansard/entries/216264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 216264,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/216264/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bw. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Mbunge ambaye ameuliza hili Swali anasema kwamba ana hakika kabisa kwamba huu mradi haufanyi kazi, naye Waziri Msaidizi anatueleza kwamba unafanya kazi. Tutamwamini nani? Hawa Mawaziri wanapokea habari kutoka kwa watu wengine mashinani, ilhali hawajafika huko. Tutamwamini nani?"
}