GET /api/v0.1/hansard/entries/216270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 216270,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/216270/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Waheshimiwa Wabunge, nani amewaruhusu nyinyi wawili kuzungumza kwa wakati mmoja? Ni lazima mfahamu kwamba hata Siaya ni sehemu ya Kenya na wanaoishi kule pia ni Wakenya. Watu wa Siaya wanastahili kupata maji!"
}