GET /api/v0.1/hansard/entries/216311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 216311,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/216311/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Spika, kutokana na umaskini miongoni mwa wazazi, baadhi ya wanafunzi wanaomaliza Kidato cha Nne hawapati vyeti vyao kwa sababu huwa hawajamaliza kulipa karo. Je, Wizara inafanya nini kuhakikisha kwamba wanafunzi wanapata vyeti vyao baada ya kumaliza masomo yao ya Kidato cha Nne? Je, wanafanya nini kuhakikisha kwamba ule mrundiko wa maelfu ya vyeti katika shule za upili umepewa wanafunzi waliomaliza masomo yao ya Kidato cha Nne ili watafute kazi au waendelee na masomo katika vyuo vikuu vya na vyuo vingine hapana nchini?"
}