GET /api/v0.1/hansard/entries/216424/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 216424,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/216424/?format=api",
"text_counter": 236,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Onyancha",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Gender, Sports, Culture and Social Services",
"speaker": {
"id": 126,
"legal_name": "Charles Onyancha",
"slug": "charles-onyancha"
},
"content": " Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nimemsikiliza Mheshimiwa akijaribu kubainisha kwamba kuna namna fulani ya uzalendo ambao tunaweza kupata tukitumia lugha zetu, kuliko kutumia Kiingereza. Ningemuomba aonyeshe kwa sababu hapa Bungeni, tuko na njia mbili ambazo tunaweza kuwakilisha fikra zetu. Ningemuomba aonyeshe mfano mwema kwa kutoa maoni yake kwa kuzugumza Kiswahili hapa."
}