GET /api/v0.1/hansard/entries/21681/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 21681,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/21681/?format=api",
"text_counter": 850,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika nachukua nafasi hii kumpongeza Waziri wa Kawi kwa kazi ambayo ameifanya. Yangu yatakuwa ni matatu. Jambo la kwanza naunga mkono udhamini huu upewe kipaumbele ambao umeombwa na Wizara na Bunge lipitishe udhamini huu kwani ukipitishwa, tutakuwa tumepata nafasi ya kupata kawi ya kutosha kwa viwanda vyetu na kwa county zetu. Zaidi ya hayo, ni kwamba viwanda vidogo vidogo vitadhaminiwa. Nikiunga mkono yale ambayo yamesemwa na wenzangu, naomba tu nitoe changamoto---"
}