GET /api/v0.1/hansard/entries/217184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 217184,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/217184/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Karume",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 234,
        "legal_name": "Njenga Karume",
        "slug": "njenga-karume"
    },
    "content": "Hawakusema hata hiyo. Walisema hawakutaka Katiba. Bw. Naibu Spika, sasa unaona kuna maswali mengi; unaona wengine wanasema eti ili tuwe na minimum reforms, au marekebisho machache, inatakiwa tuendelee mpaka mwezi wa pili mwaka ujao. Ningetaka kusema watu wa Kenya, kwa miaka zaidi ya 40, wamezoea kufanya uchaguzi"
}