GET /api/v0.1/hansard/entries/217186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 217186,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/217186/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Karume",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 234,
        "legal_name": "Njenga Karume",
        "slug": "njenga-karume"
    },
    "content": ". Miaka mitano inakwisha Desemba na uchaguzi ni wa Desemba. Yule mtu anaota na mambo ya mwezi wa pili ajue haiwezekani. Sisi tulichaguliwa na wananchi na wakatupatia miaka mitano, na inakwisha Desemba. Hii mingine tunataka tunaongezewa na nani? Hatuwezi kufanya namna hiyo. Kwa maoni yangu, ningetaka uchaguzi uwe kama vile ambavyo umepangwa ili tumalizane nao. Hata hii minimum reforms --- Hii haraka ya miezi sita, kama tumeshindwa katika miaka kumi, miezi sita itatusaidia na nini, hata ikitengenezwa iwe namna hiyo? Italeta faida gani? Hakuna vijana wataandikwa kazi kwa sababu marekebisho yamefanywa. Mimi ninasema hata hiyo ikae. Tukienda uchaguzi, wale wachache ambao watarudi, maana wengi hawatarudi, pamoja na wale fresh watakuja kuzungumza mambo ya Katiba mpya. Ukweli ni kama tumeshindwa kwa zaidi ya miaka kumi. Tumezungumza mpaka wananchi, mwaka wa 2005, walituambia hawakutaka hayo mambo ya Katiba, na hawakutupatia ruhusa ya kuendelea. Haya mambo tunayosema kuhusu"
}