GET /api/v0.1/hansard/entries/217188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 217188,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/217188/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Karume",
"speaker_title": "The Minister of State for Defence",
"speaker": {
"id": 234,
"legal_name": "Njenga Karume",
"slug": "njenga-karume"
},
"content": ", na tuliandikwa kazi na wananchi, yanatoka kwa nani? Ni maoni yangu mwenyewe kuwa ni vizuri, kwa sababu hakuna kitu itatusaidia, tufikirie hii miezi sita imebaki tufanye development, tujenge nchi pamoja na wananchi, tufanye kazi pamoja ya kujenga nchi yetu tusifanye mambo mengine yasiyo na maana kwa sababu hayatatusaidia hata kidogo. Jambo lingine ambalo ningetaka kusema ni kwamba sisi tukiwa watu wa Kenya na Afrika, tunajua mila zetu. Kama viongozi wakikosana walikuwa hawachimbani. Walikuwa wakienda kwa wazee, wanazungumza na kumaliza mambo hayo. Lakini sasa nchi hii imekuwa kama haina heshima. Hata mtu mzee anatukana yule mwingine kijana; kijana anatukana mzee, na yamekuwa mambo ambayo hatujaona hapo mbeleni. Kwa hivyo, ningewauliza viongozi tujue kwamba watoto na wananchi wanatuangalia. Sisi ndio viongozi wa nchi hii. Vile tunawaonyesha, wengine wanafuata mambo kama hayo. Kwa hivyo, ningewauliza tuache mambo ya kuharibu majina ya watu - kwa sababu kuna wengine wanatukana watu katika magazeti. Mtu anajua vile anasema fulani hayuko namna hio, lakini kwa sababu anataka kumharibia sifa, anafanya mambo kama hayo. Kwa hivyo, tujue sisi ndiyo viongozi wa nchi hii. Tukiwa katika Serikali, tukiwa katika"
}