GET /api/v0.1/hansard/entries/217190/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 217190,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/217190/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Karume",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 234,
        "legal_name": "Njenga Karume",
        "slug": "njenga-karume"
    },
    "content": ", we are leaders, na Kenya ni yetu. Kama uko katika Opposition au kama uko katika Serikali, hii Kenya ni yetu. Katika hii Kenya ni sisi sasa tunaoangaliwa na watu wengine tuiendeshe vile tutaiendesha; wakati Mungu atakapotuchukuwa kutoka nchi hii, wengine watakuja. Tungeweza kuiendesha nchi hii vile ilivyokuwa ikiendeshwa hapo mbeleni na wale walioifanyia kazi mbele yetu. Mimi nikiwa Waziri wa hii Ministry ya Defence---"
}