GET /api/v0.1/hansard/entries/218263/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 218263,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/218263/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Poghisio",
    "speaker_title": "The Temporary Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 202,
        "legal_name": "Samuel Losuron Poghisio",
        "slug": "samuel-poghisio"
    },
    "content": " Kweli kuna uhaba wa waheshimiwa Wabunge hapa Bungeni. Idadi ambayo inatakikana ni 30. Ninaona kuna waheshimiwa wachache sana hapa. Kwa hivyo, hatuna idadi inayoweza kutekeleza shughuli za Bunge hili. Ningependa basi kusema kengele ipigwe kwa muda wa dakika tano."
}