GET /api/v0.1/hansard/entries/219019/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 219019,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/219019/?format=api",
    "text_counter": 329,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kombe",
    "speaker_title": "The Member for Magarini",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kumalizia, nitarudi kwa Hoja. Majina yaliyoko, moja kwa moja ni majina ambayo yanastahili kuungwa mkono pasipo na tashwishwi yoyote. Ni majina ambayo yamewakilisha karibu sehemu zote za Jamhuri ya Kenya. Swala lililoko mbele yetu ni swala la Jamhuri ya Kenya kwa jumla na vile tumechelewesha Bunge la Afrika Mashariki kuendelea na shughuli zake. Kwa hivyo, haina budi leo tukubali majina haya ili Wabunge hawa waweze kuendelea na shughuli ya kuwakilisha Kenya katika Bunge la Afrika Mashariki. Kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii."
}