GET /api/v0.1/hansard/entries/219162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 219162,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/219162/?format=api",
"text_counter": 472,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ndile",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Tourism and Wildlife",
"speaker": {
"id": 272,
"legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
"slug": "kalembe-ndile"
},
"content": " Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Je, ni nidhamu kwa Maj. Madoka kuipotosha Nyumba hii kwamba kilo moja ya mahindi imepanda bei hadi Kshs100 na ilikuwa Kshs50 zamani, akijua kwamba wakati huo, walikuwa wakinunua gunia ya mahindi kwa Kshs300 na sasa iko Kshs1200. Hiyo ni kutupotosha!"
}