GET /api/v0.1/hansard/entries/219349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 219349,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/219349/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ahsante, Bw. Naibu Spika. Ninaomba kuitisha Taarifa ya Wizara kutoka kwa Wizara ya Ardhi na Makao. Kabla sijafanya hivyo, ningetaka kuchukua nafasi hii kuwashukuru watu wa Magarini kwa vile ambavyo walithibitisha ya kwamba mwaka wa 2002 walipiga kura mahali ambapo ndipo, kwa sababu palikuwa ndipo, na wakarejelea kupiga ndipo. Hili ni hakikisho---"
}