GET /api/v0.1/hansard/entries/219475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 219475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/219475/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, nitarudi kwa lugha ya Kiswahili. Mambo ya Afrika, hatuwezi kusema kwamba tutaweza kutibu UKIMWI katika Kenya na tuumalize ilhali jirani wetu wana shida. Afrika Kusini na Katikati mwa Afrika wana shida. Ni lazima na sisi tuwe na mwongozo wetu ambao utaweza kurekebisha haya mambo. Yangu ni mswazi! Nimeyaleta haya mambo. Nimetumia Kiswahili, nikateleza na kutumia Kiingereza, kumbe si halali. Nimetosheka! Kwa hayo machache, naunga mkono."
}