GET /api/v0.1/hansard/entries/220674/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 220674,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/220674/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, lakini jambo muhimu ni kwamba Serikali dhabiti haiogopi kukosolewa. Ninaiunga mkono Serikali hii kwa sababu ya uhuru wa kusema. Ninaweza kuikosoa bila ya kutimuliwa. Kama ingekuwa tofauti, mheshimiwa Mbunge angesema ya kwamba hii ni Serikali ya kidikteta. Tunajua ya kwamba kuna wanaokalia viti vya mbele ambao wana maoni tofauti, lakini hawawezi kuyaeleza kwa sababu wanaogopa kutimuliwa. Sasa hakuna uoga huo. Hili ni jambo la kusifiwa wala si la kukosolewa. Kwa hivyo, ninachosema ni kwamba---"
}