GET /api/v0.1/hansard/entries/220676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 220676,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/220676/?format=api",
    "text_counter": 312,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Raila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 195,
        "legal_name": "Raila Amolo Odinga",
        "slug": "raila-odinga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Sasa hatujui Serikali ni ya akina nani na wapinzani wake ni nani kwa sababu Mhe. Wamwere anaongea kama mpinzani wa Serikali. Sasa hatujui kama yeye ni fisi au ni kondoo."
}