GET /api/v0.1/hansard/entries/220678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 220678,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/220678/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamwere",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
    "speaker": {
        "id": 352,
        "legal_name": "Koigi Wamwere",
        "slug": "koigi-wamwere"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, sijakuwa fisi na sitakuwa fisi milele. Mimi hulka yangu ni ya kondoo na ndio sababu nimejiunga na Chama Cha Mwananchi (CCM) ili kutetea kondoo wengine. Hata Serikali inaweza kuwa ya kondoo nikimaanisha ya kwamba jukumu lake kubwa litakuwa ni kutetea kondoo wasije wakaliwa na fisi. Bw. Naibu Spika, nilichokuwa nasema ni kwamba Wizara hii imekuwa katika usingizi. Ni sawa Waziri kusema sababu yake hawakuwa na sheria ambayo ingewawezesha kuwalinda na kuwatetea wafanyikazi. Sasa tuna sheria hiyo. Vile tumempa sheria na uwezo---"
}