GET /api/v0.1/hansard/entries/220681/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 220681,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/220681/?format=api",
"text_counter": 317,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Tumeongea kwa mapana juu ya Mswada huu. Tumesikia maoni tofauti. Kuna wale wanaoukosoa na wanaounga mkono. Ninaomba Waziri ajibu maswali yetu kwa sababu matatizo ya wafanyakazi ni mengi."
}