GET /api/v0.1/hansard/entries/220686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 220686,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/220686/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Nasimama nikizingatia Kanuni ya Bunge Nambari 87. Tumesikia mengi kuhusu Hoja hii kutoka kwa waheshimiwa Wabunge, kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Hata hivyo, wanarudia yale ambayo yamesemwa. Kwa hivyo, naomba kupendekeza kwamba aliyewasilisha Mswada huu ajibu."
}