GET /api/v0.1/hansard/entries/221247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 221247,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/221247/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Raila",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 195,
"legal_name": "Raila Amolo Odinga",
"slug": "raila-odinga"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa kuchangia Hoja hii ambayo ni muhimu sana kwetu, kama wananchi wa Africa Mashariki. Bw. Naibu Spika, madhumuni ya kutengeza Shirikisho la Afrika Mashariki ni kama rika ya uhuru wa mataifa haya matatu ya Kenya, Uganda na Tanzania. Nakumbuka sana kuwa nilipokuwa kijana, viongozi walikuwa wakizungumza na kusema kwamba wakipata uhuru, wataunganisha nchi hizi zote tatu ziwe kitu kimoja. Bw. Naibu Spika, ile community ambayo iliundwa huko mwanzoni ilikuja ikasambaratika kwa sababu ya tofauti iliyokuwa baina ya viongozi wa wakati huo. Ilikuwa ni kwa sababu ile"
}