GET /api/v0.1/hansard/entries/222688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 222688,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/222688/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ndile",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Wildlife and Tourism",
    "speaker": {
        "id": 272,
        "legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
        "slug": "kalembe-ndile"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, ni haki kwa Bw. Ntimama kudai kwamba uchumi wa nchi hii bado haujakua, na hali tunafahamu kwamba alipokuwa Waziri katika Serikali iliyopita, alichangia kuanguka kwa uchumi kwa kuwaambia watu kutoka jamii fulani walale chini kama bahasha?"
}