GET /api/v0.1/hansard/entries/222920/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 222920,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/222920/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nilikuwa ninataka tu kumuomba Makamu wa Rais na Waziri wa Mashauri Nchini kwamba wakati atakuwa anapata ule ushauri wa vyama aelewe hali halisi kwamba vyama vingine haviko kama vile viliyokuwa; vilihama upande wa kulia na kuja upande wa kushoto. May 9, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 1237"
}