GET /api/v0.1/hansard/entries/22315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 22315,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/22315/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, ningeomba kumuuliza Waziri Msaidizi atueleze mipango yake ya kuikarabati barabara ya Samburu hadi Baragoi. Magari yanayobeba chakula cha misaada hayawezi kufika Baragoi kwa sababu barabara hii ni mbaya sana. Je, tunaweza kutumia ndege kupeleka chakula huko kwa sababu barabara hii ni mbaya sana? Hatutaki kuona watu wetu wakifaa njaa."
}