GET /api/v0.1/hansard/entries/22316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 22316,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/22316/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 48,
        "legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
        "slug": "lee-kinyanjui"
    },
    "content": "Bw. Spika, wiki jana tulijibu Swali hilo hapa Bungeni. Nilisema tayari maofisa wetu wameanza kukarabati barabara hii. Jana jambo hili liliripotiwa katika runinga zetu. Ninamhakikishia mhe. Leshomo kuwa tayari tumetenga pesa za kukarabati barabara hii. Kama nilivyosema tayari kuna maofisa mashinani ambao wanajishughulisha na ukarabati huu ili wananchi wa sehemu hiyo wapate chakula. Hatutaki kuona watu wetu wakifa njaa kwa sababu ya hali mbaya ya barabara hapa nchini."
}