GET /api/v0.1/hansard/entries/22319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 22319,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/22319/?format=api",
"text_counter": 156,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, watu wanaumia. Wangepewa ndege kwa sababu kusema watatuma watu ambao hawaendi si vizuri; wangetumia ndege kuwapelekea watu chakula. Kuanzia wiki ijayo kile kimebaki kitaisha, na watapata watu wamekufa kwa sababu ya njaa."
}