GET /api/v0.1/hansard/entries/223458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 223458,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/223458/?format=api",
"text_counter": 210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 246,
"legal_name": "Joseph Matano Khamisi",
"slug": "joseph-khamisi"
},
"content": "Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninasimama kuunga mkono Hoja hii iliyoletwa na mhe. Ochilo-Ayacko, ambayo hasa inauliza kuondolewa kwa ada ambazo zinalipiwa stakabadhi za ardhi, hasa kuhusiana na shule na taasisi nyingine za umma. Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kwanza kusema kwamba mbali na kwamba kuna hili jambo la title deeds, au stakabadhi za kumiliki ardhi, tunazo taasisi nyingi za Serikali na umma katika Mkoa wa Pwani, and ambazo kwa kusema kweli hazijapimwa na wala hazina title deeds."
}