GET /api/v0.1/hansard/entries/226174/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 226174,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/226174/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. K. Kilonzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 172,
        "legal_name": "Julius Kiema Kilonzo",
        "slug": "kiema-kilonzo"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nimemsikiliza mhe. Wamwere akizungumza sana. Kwanza, amezungumza kuhusu majambazi. Amesema kwamba tunaongozwa na majambazi. Ni akina nani hao? Tunataka atuambie hawa majambazi wa Serikali ni kina nani? Sasa amezungumza kuhusu kumhonga Mungu. Kweli, ni haki Mbunge kusema kuwa Mungu anahongwa na pesa za ufisadi?"
}