GET /api/v0.1/hansard/entries/227185/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 227185,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/227185/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, suala hili limedumu kwa muda mrefu sana. Wakenya wamekuwa na hofu kwamba Serikali ya Kenya inafuata maagizo ya Marekani na marafiki wake walioko Somalia na kwingineko. Je, Waziri anaweza kutueleza alitumia vigezo gani kujua kwamba hawa watu walikuwa wakimbizi au ni raia wa Kenya? Tuna mkataba wa kimataifa kuhusu wakimbizi!"
}