GET /api/v0.1/hansard/entries/227524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 227524,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/227524/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, mimi naomba kumuuliza Waziri kwa ufupi kwamba, katika hayo marekebisho kwa wafanyakazi wa Serikali, je marekebisho hayo yanalenga kupunguza wafanyakazi na kuongeza ukosefu wa kazi ama ni marekebisho ambayo itawapa uwezo wa kutoa huduma bora zaidi na kuwapeleka mahali ambapo wanahitajika? Nchi hii ina ukosefu wa kazi na hatuhitaji marekebisho ambayo yatapunguza kazi."
}