GET /api/v0.1/hansard/entries/227525/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 227525,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/227525/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. M.Y. Haji",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika ninasimama kuthibitisha ya kwamba ninakubaliana na yale ambayo Waziri amesema. Wiki jana mimi nilileta barua tatu hapa Bungeni nikilalamika juu ya Mawaziri ambao hawafanyi kazi vile inavyotakikana. Ninafurahi kuripoti leo kwamba kupitia kwa ofisi ya Bw. Akaranga, Wizara ya Uhamiaji ambayo ilikataa kuandika makarani huko Ijara kama vile ilivyofanywa katika kila eneo Bunge, jana nimepatiwa nakala za hizo barua zote na watu wa Ijara wameandikwa. Kwa hivyo, ninakupongeza na ninakuuliza uendelee hivyo na Serikali iendelee hivyo."
}