GET /api/v0.1/hansard/entries/228299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 228299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/228299/?format=api",
    "text_counter": 306,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kulingana na sheria za Bunge, mtu hawezi kuzungumza kuhusu Mbunge yeyote katika Bunge hili hadi alete Hoja maalum. Kwa hivyo, kuzungumza kuhusu ama kumtaja Waziri bila kuleta Hoja maalum hapa ni kutoka katika barabara ya sheria zetu."
}