GET /api/v0.1/hansard/entries/228302/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 228302,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/228302/?format=api",
    "text_counter": 309,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Mr. Moroto): Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Sisi tuko hapa ili kurekebisha maovu yanayoendelea katika nchi hii. Bw. Naibu Spika wa Muda, lazima tuseme maneno mengine wazi, ijapokuwa wakati mwingine, sheria inatuzuia kuyasema. Kwa hivyo, kwa hicho kiwango kidogo, tunaweza kusema jambo hilo liwekwe kando kidogo. Lakini---"
}