GET /api/v0.1/hansard/entries/229266/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 229266,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229266/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wario",
    "speaker_title": "The Assistant Minister, Office of the President",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, je, ni sawa kwa mzungumzaji kusema kwamba watu wote wanaotoka katika Ofisi ya Rais ni watu kutoka kabila moja, ilhali mimi natoka katika Ofisi ya Rais na sitoki Mkoa wa Kati? Je, ni sawa kupotosha Bunge hili?"
}