GET /api/v0.1/hansard/entries/229400/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 229400,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229400/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ndile",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Wildlife and Tourism",
    "speaker": {
        "id": 272,
        "legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
        "slug": "kalembe-ndile"
    },
    "content": " Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Umemsikia Waziri Msaidizi wa Habari na Mawasiliano akisema kwamba wafuasi wa chama cha NARC(K) walijaribu kumchoma na hali tunaelewa kwamba ni mpinzani wake, Bw. Ngunjiri, ndiye alitenda jambo hilo. Je, ni haki kwake kusema hivyo?"
}